top of page
Search
  • grantinnocent

Maombi kujiunga na mafunzo ya afya ya uzazi ya young and alive sasa yamefunguliwa.

Young and alive inafurahi kufungua maombi ya kujiunga na mafunzo ya uongozi ya afya ya uzazi. Mafunzo haya yatawakutanisha vijana 15 na yatajikita katika nguzo tatu za uongozi ambazo ni utoaji huduma, uchechemuzi na ujasiriamali jamii. Mafunzo haya yatatolewa kwa vijana wenye umri kuanzia miaka 15-24, vijana wote wenye umri huu kutoka Tanzania wanakaribishwa kujaza fomu ya maombi bila kujali elimu walizonazo, jinsia wala itikadi ya dini, kabila au siasa. Fomu inapatikana kwa ku bofya hapa na ya kingereza hapa.


Mwisho wa kujaza maombi haya ni tarehe 30/11/2021. Kama unapata changamoto kujaza fomu hii, tafadhari wasiliana nasi kupitia barua pepe info@youngandalive.org au tuma ujumbe mfupi kwenda namba +255718290474.
582 views2 comments

Recent Posts

See All
bottom of page