Rich Mavoko, akiongelea ukatili wa kijinsia
Msichana kwenye Game, #SioGameYako.
Rich Mavoko akielezea namna ambavyo ukatili ya kijinsia unaathiri ustawi wa wanawake na wasichana kwenye tasnia ya sanaa, burudani, ubunifu na habari.
#OrangeTheWorld #GenerationEquality